Become A Donor

Become A Donor
Lorem Ipsum is simply dummy text of the printing and typesetting industry.

Contact Info

684 West College St. Sun City, United States America, 064781.

(+55) 654 - 545 - 1235

[email protected]

Latest Posts

Our Campaigns

  1. Adopt Child
    Campaign has ended
  2. Medical Treatment
    Campaign has ended
  3. Donate Clothes
    Campaign has ended
  4. Shelters For Needy
    Campaign has ended
  5. Hygienic Food
    Campaign has ended

History

Historia ya Kanisa
Kanisa hili lilianzishwa mwaka 1992 na washirika wachache katika mji mdogo wa Shinyanga. Huu ulikuwa mwanzo mdogo lakini wenye shauku kubwa ya kumtumikia Mungu.

Mwaka mmoja baadaye, yaani 1993, kanisa lilipokea watumishi na washirika wapya kutoka mikoa mbalimbali ikiwemo Mara, Mwanza na mikoa mingine ya jirani. Hili liliimarisha ukuaji wa huduma na kupanua wigo wa ushirika huu.

Tangu kuanzishwa kwake, lengo kuu la kanisa limekuwa kuihubiri Injili ya kweli ya Yesu Kristo na kuendeleza maono yake, si tu ndani ya kanisa, bali pia katika jamii na ulimwengu mzima.

Kwa kipindi chote cha ukuaji wake, kanisa limeendelea kusimama katika maono haya. huku likiamini kwamba injili hii ni mwanga wa vizazi vyote, na limejitolea kuhakikisha kwamba maono ya Kristo yanaendelezwa kwa nguvu na uaminifu, ili vizazi vijavyo viendelee kuijua na kuishi kweli ya Kristo.

______________________________________________

Church History
This church was founded in 1992 by a few members in the small town of Shinyanga. It was a humble beginning, but with great passion to serve God.

A year later, in 1993, the church welcomed new ministers and members from different regions, including Mara, Mwanza, and other neighboring areas. This strengthened the growth of the ministry and expanded the reach of this fellowship.

Since its establishment, the main mission of the church has been to preach the true Gospel of Jesus Christ and to advance His vision—not only within the church but also in the community and the world at large.

Throughout its growth, the church has remained steadfast in this vision, believing that this Gospel is the light for all generations. It has committed itself to ensuring that the vision of Christ continues with strength and faithfulness, so that future generations may know and live the truth of Christ.